Pages

Ads 468x60px

I'm upcoming Dj in The music Industry this is my free Blog where I can share my Ideas to the World.

Sunday, January 6, 2013

MEJJA LYRICS

"Niko Poa"
(feat. Bro)
Intro
huu ni okonkwo
tangu nikuje Nairobi
watu wangu wa Majengo sijawasahau
skia hii

Verse 1
bro najua nimekosa sana
ndio nimeandika hii barua mjue vile nafanya
hope huko Nyeri bado mnakazana
kabla niendelee salimia sana matha
najua unashindwa ni wapi nilikuwa nalala
Clemo alinichukua akaniweka kama brother
akanipatia mavazi na kitu ya kumanga
tangu nitoe ngoma yangu ya ulevi
huku Nairobi nimejua watu wengi
wengine wazuri wengine hawanipendi
sijali Majengo ilinifunza kaa kijeshi
huku Calif mi huenda Jino Moja
ama base ya Mama Sidi kushikisha gomba
dough ikiingia ntakuja kuwaona
kina Omari kina Juma kina Zoa
wee wasalimie na uwaambie niko poa

Chorus
ni nini nini ni niko poa
ni nini nini ni niko poa
Mejja barua yako niliishika
sijawatupa jamaa
niko poa

ni nini nini ni niko poa
ni nini nini ni niko poa
Mejja barua yako niliishika
sijawatupa jamaa
hope mko poa

Verse 2
Mejja barua yako niliishika
lakini hukuniambia ka mihogo yangu ilifika
huku Nyeri nakuambia tu ni mashida
mpaka nimeanza kufikiria kuwapiga ngeta
by the way
yule mama Mkamba
Mama Kathanga siku hizi ashakuwa mwizi
Kioko naye alivuta kiombitho alichizi
utatoa moshi
naye bro mkubwa anakazana na dini
sa Nairobi unataka nikuje lini?
siku moja hivi nishikishe miti
naskia Nairobi wanakuita Okwonkwo
lakini kumbuka mafans ndio masonko
matha aliniambia umtumie ganji
mi siku-get yangu naenda kunywa maji
lakini nakuombea endelea na kazi

Chorus
ni nini nini ni niko poa
ni nini nini ni niko poa
Mejja barua yako niliishika
sijawatupa jamaa
niko poa

ni nini nini ni niko poa
ni nini nini ni niko poa
Mejja barua yako niliishika
sijawatupa jamaa
hope mko poa

Verse 3
Hello
ni nani?
bro umesahau sauti yangu kiaje
pole
ulinunua simu bana
ata hauwezi nipigia mi nipate namba
aa zii hii ni simu ya jamii
ata sina credo itakatika saa hii
hello
ulipata zile dough nilituma on Sato
ehh wasee huniuliza utakuja lini
usiwasahau ata ka unakaa jiji
ukikaa jiji usisahau kijiji
nikikuja ntawanunulia maji
ma-Obama mtakunywa na majagi
ahh wazi ndio umeanza kuongea
wasee wa ghetto usisahau kuwaambia
kama Mungu aliniondolea mashida
hajawasahau siku yenu inafika
Inshallah usibadilike sana
ata ka siku hizi naitwa Okonkwo
siwezi sahau nina damu ya uMajengo
wazi gotea watu wa Nairobi
wazi gotea Majengo ya Nyeri
simu itakatika ntakupigia jioni
ngoja ngoja

Chorus
ni nini nini ni niko poa
ni nini nini ni niko poa
Mejja barua yako niliishika
sijawatupa jamaa
niko poa

ni nini nini ni niko poa
ni nini nini ni niko poa
Mejja barua yako niliishika
sijawatupa jamaa
hope mko poa

ni nini nini ni niko poa
ni nini nini ni niko poa
Mejja barua yako niliishika
sijawatupa jamaa
niko poa

ni nini nini ni niko poa
ni nini nini ni niko poa
Mejja barua yako niliishika
sijawatupa jamaa
hope mko poa

0 comments:

Post a Comment