Pages

Ads 468x60px

I'm upcoming Dj in The music Industry this is my free Blog where I can share my Ideas to the World.

Saturday, January 5, 2013

NISHER KUDIRECT VIDEO MPYA YA DJ CHOKA PREE PLAY

Baada ya kufanya vizuri katika tasnia hii ya muziki hapa Tanzania,sasa anazidi kupata deal mbalimbali kwa kupitia kazi yake nzuri,sasa leo kupitia katika ukurasa wa label ya B hitz music group waliweza kuweka wazi kwamba tarehe 31 mwezi huu wa kwanza wanatarajia kuachia video yao mpya ya Press Play huku director akiwa Nisher kutoka Arusha.Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Dj choka kaa tayari kwa ujio huo mpya kutoka B Hitz music Group.


0 comments:

Post a Comment